
- Swahili
- PDF
- Available on iOS & Android
About this book
Hii ni riwaya ya kusisimua ya kijasusi na madawa ya kulevya inayozu-ngumzia vita kati ya Tume ya Dunia ya Umoja wa Mataifa, ya kud-hibiti madawa ya kulevya na ugaidi wa kimataifa, 'World Drugs Enforcement Commission' (WODEC); na shirika kubwa la madawa ya kulevya la Kolonia Santita (CS-14) la Kolombia na Meksiko. Inaelezea, kwa kinagaubaga, jitihada za pamoja kati ya Tume ya Dunia, Marekani na Meksiko za kuwasaka na hatimaye kuwatia nguvuni viongozi nduli wa CS-14; na kuzuia shehena (kubwa) ya madawa ya kulevya na malighai ya nyukilia: kwenda Afrika, Asia, Amerika, Ulaya - na kung'oa mizizi ya shirika la CS-14, lote, katika nchi za Hemisifia ya Magharibi - na duniani kwa jumla. Ukisoma kitabu hiki utajiuliza, "mwandishi huyu aliwezaje kusuka riwaya inayoufanya moyo kukuenda mbio, hata kukulazimu wakati mwingine kukiweka kitabu kando ili urudishe pumzi! Ukishakianza tu, hutakiacha kabla ya kujua mwisho wa vita hi kali ya kimataifa. Na kivutio kikubwa ni kuwa kiongozi wa vita hiyo kwa upande wa Umoja wa Mataifa ni Murphy Ambilikile, Mtanzania - Willy Gamba wa Karne ya 21. Hiki ni kitabu cha kwanza cha aina yake cha kimataifa katika Tanzania. Lengo lake si tu kukata kiu ya wapenzi wa riwaya za kipelelezi na kufufua mwamko wa usomaji wa vitabu; ni kuleta, hali kadhalika, ufahamu na burudani ya kimataifa kwa wasomaji wa riwaya za kiswahili.
Frequently asked questions
- Essential is ideal for learners and professionals who enjoy exploring a wide range of subjects. Access the Essential Library with 800,000+ trusted titles and best-sellers across business, personal growth, and the humanities. Includes unlimited reading time and Standard Read Aloud voice.
- Complete: Perfect for advanced learners and researchers needing full, unrestricted access. Unlock 1.4M+ books across hundreds of subjects, including academic and specialized titles. The Complete Plan also includes advanced features like Premium Read Aloud and Research Assistant.
Please note we cannot support devices running on iOS 13 and Android 7 or earlier. Learn more about using the app.
Information
Table of contents
- Jalada
- Ukurasa wa kichwa
- Ukurasa wa hakimiliki
- Tabaruku
- Neno la Shukrani
- Yaliyomo
- Dibaji
- N’na Kwetu
- Mengi Mno
- Kwa Jina la Nchi Yangu
- Inaitwa Zanzibar
- Bwana Katwaa
- Lipokee Chozi Hili
- Nakumbuka
- Zinjibari ya Njozini
- Ishachanjauka
- Kama Wewe
- Naja Kwetu
- Sina Budi Kwenda
- Yatakwisha
- Tunao Huu Tunao
- Sauti ya Nchi Yangu
- Usinifanye Yatima
- Kitatange
- Kumbe Siye
- Sote Tuna Mwisho Wetu
- Habibi Zenji
- Nitaachaje Kulia?
- Nchi Yangu Msibani
- Ndoto Zaruka
- Kama Huwezi Ulezi
- Salamu Kwa Mama
- Alhamdulillah!
- Mambo Hwenda Yakirudi
- Lau Wajuwa Najuwa
- Tetere Nakulaumu
- Machozi Mwaika
- Lau Huna, Ndio Huna
- Nifunguwe
- Nafsi Iloatilika
- Dishi Halishi Mashizi
- Nimekuwa Siku Hizi
- Tu Waja Wa’yo Dunia
- Ukicha Waja Hutendi
- Ya Wapi?
- Upatwe Unikumbuke!
- Ulimwengu Hau Raha
- Lisharudi Popobawa
- Upweke Una Mbeleko
- Hailipiki Fadhila
- Kinusu Changu Cha Moyo
- Kutowa na Kupewa
- Mwana Huu ni Usia
- Uwe na Stahamala
- Ndivyo Nilivyo
- Kipya Kiwapo Kidonda
- Hiyari Isoradulika
- Maisha Mapenzi
- Khadhira Wangu Nyamaza!
- Tutafika
- Mwanywaje Mchuzi Mwanzo?
- Jua Kali La Laili
- Tausi U Kifungoni
- Hakuchokeshi Kupata
- Pendo Hashuo
- Peya Viatu Viwili
- Nchingwa Ndimingwa
- Nyumbani Oo Nyumbani
- Kalamu Zirande Mote
- Mwenye Gimba
- ‘Sichame Ago
- Mimi Wako
- Kioja sikihitaji
- Wezeka
- Ndivyo Walivyo
- Mapenzi Nikupendayo
- Mla Leo Mla Nini?
- Lingekuwa la Kujuwa
- Mwamvalia Nani?
- Wanangu Nisameheni
- Siharibu Kisu Changu
- Kulikumba Jini
- U Wapi Furaha?
- Mengine Siyaulize
- Hukumu ya Mja
- Mambo Yakiharibika
- Nacha Kuja Kugeleka
- Wakuzingao
- Kipande cha Kura
- Mifupa ya Muhajirina
- Mimi Jani
- Udongo Uli Umaji
- Kujenga Nyumba Ya Mbali
- Munipendao ni Nyiye
- Jalada